Picture of Lissu and the text: “Tume za Uchunguzi ni dekio la uchafu wa serikali na Jaji Mkuu Mohamed Chande ndiye msafishaji mkuu wa uchafu huo!! Alikuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Mauaji Bonde la Ihefu mwaka 2006. Matokeo yake? Sifuri!! Alikuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Vyombo vya Haki Jinai Mwaka 2023. Matokeo yake? Sifuri!! Sasa ni Mwenyekiti wa Tume ya Mauaji Makubwa katika historia ya nchi yetu yote. Tutegemee matokeo gani? Sifuri!! Hakuna Maridhiano bila Ukweli na Uwajibikaji! Hakuna Amani bila Haki” TAL, Ukonga Central Prison 21 November, 2025
Besides everything else, Tundu Lissu is invaluable for his memory. While most Tanzanians have shockingly short memories (even forgetting Magufuli's crimes ...) he remembers Kikwete's brutally anti-pastoralist first term. #Ihefu #MO29